[male
vocals] (
Mmm,
yeah) (
saxophone
solfège)
Esther,
usiniache
mpenzi
wangu
mimi
Baraka
nime
kuchagua
wewe
Kivuli
chako
bado
kinazunguka
akilini
Harufu
yako
bado
ipo
kwenye
mito
ya
moyo
wangu,
tume
anza
safari
ya
maisha
mimi
nawe
tutengeneze
kesho
yetu
pamoja,
Natazama
picha
zako
ukicheka
kwa
furaha
Sasa
machozi
yananitiririka
kama
mvua
ya
masika
Esther,
kweli
sija
amini
kweli
ume
pendanda
na
mimi
Kristo
aliye
hai
apewe
sifa
zaidi
kunipa
wewe
Bila
wewe
dunia
imepoteza
rangi
zake
zote
Usiniache
Adasa
Esther,
mpenzi
wangu
wa
moyo
Tuki
koseyana
tusameyane!
turudi
kwenye
mahusiano,
Usiniache
Esther,
Oh
oh
tuki
koseyana
tusameyane!
Maisha
bila
wewe,
ni
kama
safari
isiyo
na
mwisho!
Ooh
baby,
rudi
kwangu,
maisha
bila
wewe,
ni
kama
safari
isiyo
na
mwisho!
Kila
sauti
nasikia,
nahisi
ni
wewe
unakuja
kichwani
maumivu
ambayo
nilipata
kwa
zamani
nilipo
pendana
na
mwengine
yamenipa
fundisho,
njo
mana
niliomba
sana
ili
nikupate
wewe,
ile
maumivu
niliyo
yapata
kwa
yule
sipendi
niyapate
kwako
Natamani
tusikilizane
ili
tufike
lengo
letu,
muda
inasogea
mbele
wala
haurudi
nyuma
Adasa
Esther,
usiniache
pekee
yangu
Nahitaji
mguso
wako,
nahitaji
sauti
yako
mimi
nawe
tufike
mahali
tuendako
salama
Usiniache
adasa
Esther,
mpenzi
wangu
wa
moyo
tuki
koseyana
tusameyane!
Nisamehe
kama
kuna
kosa
nililokupa
turudi
kwenye
mahusiano,
Usiniache
Esther,
Oh
oh
tuki
koseyana
tusameyane!
Maisha
bila
wewe,
ni
kama
safari
isiyo
na
mwisho!
Ooh
baby,
rudi
kwangu,
maisha
bila
wewe,
ni
kama
safari
isiyo
na
mwisho!
Siwezi
kulala,
siwezi
kula,
mawazo
yote
ni
wewe
Kila
nyimbo
ninayosikia
inaniimbia
jina
lako
Esther,
mapenzi
yetu
ni
matamu
sababu
imetoka
kwa
Mungu
mzima, (
I
need
you,
baby) (
Come
here,
Esther,
usiniache) (
Saxophone
alto
douce
instrumental)
Mimi
nawe
tuende
polepole
Esther,
pamoja
na
Mungu
tuta
fika
kwenye
ndowa
Nakupenda
sana,
Sitaacha
kukuombea
mema
popote
ulipo
Maana
wewe
ndiye
chaguo
langu
nuru
ya
macho
yangu
Chaguo
langu
ni
wewe!
ehee
iiii
chaguo
langu
ni
wewe!
Usiniache
Esther,
bila
wewe
siwezi
kuvumilia
Maisha
bila
wewe,
ni
kama
safari
isiyo
na
mwisho!
Ooh
baby
Adasa
chaguo
langu
ni
wewe!
Esther
usiniache
na
maumivu
bado
naku
hitaji
kwenye
maisha
haya
ya
duniani!
I
love
Forever
I
am
Adam
and
you
Eve
little
by
little
we
will
arrive
at
our
destiny ,
Esther (
Yeah,
come
back). (
End)
Baraka
Amani