[male
vocals] (
WCB!
Twende!)
Mzazi
mambo
vipi?
Watu
wana
njaa,
daah!
Watu
wana
njaa,
haha,
watu
wana
njaa!
Kila
nikipita
kwenye
korido
watu
minuno
tu
Ukikatiza
mlango
wa
mbele
watu
mikausho
tu
Inafika
kipindi
unamsalimia
mtu
kwa
sauti
Anakujibu
kauzu,
kama
hana
utulivu
Wallah
watu
wana
njaa,
stress
zimejaa
Kila
mtu
ana
mahesabu,
maisha
yamekaa
vibaya
Watu
wa
madeni
kiasi
kwamba
ukimtumia
pesa
Lazima
kwanza
uulize
kwa
namba
hii
hapa?
Watu
wana
njaa
mzazi,
hali
imekuwa
ngumu
Kila
kona
ya
mtaa,
watu
wana
ndimu
Njaa
inaleta
mikausho,
njaa
inaleta
minuno
Watu
wana
njaa
mzazi,
tunahitaji
mbinu
mpya
Watu
wana
njaa,
oh
watu
wana
njaa (
Poa
sana!)
Ukijisahau
kidogo
hujauliza
kwa
namba
gani
Utasikia
ulituma
wapi,
mbona
sioni?
Ah
ah!
Hayaaaa,
daah
nilikopa
songesha
mzazi
Dada
Nanii
ongea
na
Mchina
mtaani
Mwambie
huku
hali
mbaya,
akichelewa
kidogo
Watu
watadondoka
kwa
njaa,
hali
ya
hewa
sio
Kuna
kitu
hakipo
sawa,
mzazi
hebu
angalia
Watu
wanakimbizana
na
maisha
ya
kila
siku
Watu
wana
njaa
mzazi,
hali
imekuwa
ngumu
Kila
kona
ya
mtaa,
watu
wana
ndimu
Njaa
inaleta
mikausho,
njaa
inaleta
minuno
Watu
wana
njaa
mzazi,
tunahitaji
mbinu
mpya
Watu
wana
njaa,
oh
watu
wana
njaa
Inafika
kipindi
unafunga
mlango
nyumbani
Kuepuka
salamu
za
watu
wenye
njaa
mitaani
Maisha
ya
Bongo
yanahitaji
uvumilivu
Mzazi
tuombee,
tusije
tukawa
na
ulevi
wa
njaa (
Tamu!
Bongo!)
Kila
unapotembea,
unaona
watu
wamechoka
Wengine
wanapiga
miayo,
njaa
inawatesa
Hali
ni
tete,
mambo
ni
mazito
sana
Tunatiana
moyo,
tutavuka
salama
Mzazi
usikate
tamaa,
songa
mbele
kila
siku
Ingawa
njaa
inatutesa,
tutashinda
vita
hii
Watu
wana
njaa
mzazi,
hali
imekuwa
ngumu
Kila
kona
ya
mtaa,
watu
wana
ndimu
Njaa
inaleta
mikausho,
njaa
inaleta
minuno
Watu
wana
njaa
mzazi,
tunahitaji
mbinu
mpya
Watu
wana
njaa,
oh
watu
wana
njaa
Watu
wana
njaa
mzazi
Hahaha,
hali
mbaya
Bongo
tunasonga,
twende
Poa
sana,
tutavuka
tu (
WCB!
Mambo!
Tamu!)
Finish!