Kila sifa na utukufu ni kwake Bwana!
Tulianza safari kwa maono ya pamoja
Mwenyezi Mungu akatuongoza kila nyongeza
Changamoto zikaja, tukavumilia
Mkono wake Bwana umetufikisha hapa (Haleluya!)
HARSH GROUP twasimama imara
Kwa imani na nguvu za Bwana (Yesu!)
Hatutetereki, tunasonga mbele
Mungu wetu atutetea milele! (Amina!)
Ushirikiano wetu ni baraka toka juu
Tukishikana mikono, hatuna hofu, hatuna jasho
Kila mmoja wetu ni nguzo muhimu
Tunamwimbia Mungu, nyimbo za utukufu (Sifa kwake!)
HARSH GROUP twasimama imara
Kwa imani na nguvu za Bwana (Praise Him!)
Hatutetereki, tunasonga mbele
Mungu wetu atutetea milele! (Glory!)
Umoja wetu unategema sana uimara wetu
Miss Pendo,Miss Elizabeth,Miss Doreen
Miss Agnes mzee wa busara Maneno,Mr Zacharia pamoja na Stanford
Waasisi wetu Mr Augustino mbunda na Mr Theo Bwabwanga
Mungu awatunze kwaajili ya sisi vijana wenu.
Tumeona nguvu ya kuwa na wazee katika jamii
Leo tunajivunia kusimama pamoja ikiwa ninyi ndio wabeba maono haya.
Dada Yetu Grace tunakumis sana na fujo za mwanao kulilia paka
HARSH GROUP, tukienda mbele, kwa baraka zake!