Frobits
🎵 A song made on Frobits

Kumbukumbu ya Mwaka Mmoja (Remix)

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Mama

yetu

mpenzi,

bi

Zomari

Ni

kama

ndoto

vile,

lakini

leo

ishirini

ya

Septemba,

kila

mwanafamilia

anaikumbuka

siku

hii.

Siku

ile

mama

ulifumba

macho

na

hujafumbua

tena,

ulituachia

majonzi

tele

mama!

Leo

umetimiza

mwaka

tangia

utuache

wenyewe,

bila

wewe

mama

tumekukumbuka!

Watoto

wako

wote

tupo,

maisha

yanaendelea

mama,

ila

daaah!

We

Acha

tu!

Mwache

Mungu

aitwe

Mungu!

Njia

yetu

ndo

hiyo

moja!

Mwache

Mungu

aitwe

Mungu!

Mwache

Mungu

aitwe

Mungu!

Njia

yetu

ndo

hiyo

moja!

Bro

Mazo

yupo,

analiongoza

jahazi,

usukani

kaukamata

vyema.

Da

nesi

Judith

yupo,

Iringa

katulia

anaendeleza

fani.

BRO

baba

Noela

mzee

wa

One

ten

yupo,

kila

kitu

kipo

sawa.

Rose,

wa

sura

yako

kajituliza

Chanika.

Joben

naye

kwa

Wasukuma

huko,

bado

anatafuta

ugali.

Pezo

best

yako

kakumiss

sana,

Acha

tu.

Andy

kipenzi

chako,

chozi

la

mwisho

halijadondoka

bado.

Tunakukumbuka

kipenzi

chetu

mama,

Mwache

Mungu

aitwe

Mungu!

Njia

yetu

ndo

hiyo

moja!

Mwache

Mungu

aitwe

Mungu!

Mwache

Mungu

aitwe

Mungu!

Njia

yetu

ndo

hiyo

moja!

More songs by Joben Listen to songs created by others
FROBITS