Mombasa aaahh
Mombasa aaahh
245 uh yeah yeah
Mombasa aaahh
Mtu nampenzi, lakini sidekezwi
Mi mpenzi mtazamaji
Mtu na kwetu, ntakuwa fala
Kama samaki akifa kwenye maji
Acha nionekane sijiwezi
Siri ya mtungi naijuwa kata
Ni mara ngapi nimeumizwa nikalia, ah
Uliza ili jicho
Hawa watu hawa
Hivi kwali ni watu wa mungu hawa?
Mbona hawana huruma hawa?
Dar es Salaama mtanitoa roho yangu
Me siwezi kuishi bila kupendwa
Bora niende, Mombasa aaahh
Nikajaribu, zali langu mimi, Mombasa aaahh
Naomba mnipokee, eh, Mombasa aaahh
Abdulswamad nateseka mimi, Mombasa aaahh
Nipate mtoto wa mtu nimpende
Nimpende salamu zifike bongo
Dhahabu chini ya mtende
Na mi nitulize ubongo
Nachoka mimi nachoka
Kulia lia kama mutoto
Basi nijipate nitulie
Ushanitosha msoto
Hawa watu hawa
Hivi kwali ni watu wa mungu hawa?
Mbona hawana huruma hawa?
Dar es Salaama mtanitoa roho yangu
Me siwezi kuishi bila kupendwa
Bora niende, Mombasa aaahh
Nikajaribu, zali langu mimi, Mombasa aaahh
Naomba mnipokee, eh, Mombasa aaahh
Camilus nateseka mimi, Mombasa aaahh