(Chumba
namba 72)
Niko
nae,
ananipenda,
namuamini.
Amani
iwe
kwenu,
amani
iwe
kwetu. (
Listen,
listen)
Uber
driver
akauliza
wapi
nika
jibu
nashera
hoteli
Ndinga
ikachomwa
wese
na
mziki
chachu
ya
safari
Ndani
niko
na
mtoto
mzuri
doli
kimwana
Niliyempenda
tangu
kitambo
na
sasa
tuko
sawa
Barabarani
gari
inasonga
mitaa
tunapita
Ananichekesha
na
tabasamu
lake
linanivutia
Baadae
akaleta
story
za
maisha
ya
mtaani
Mimi
nipo
kwenye
state
ya
furaha
nae
pembeni
Chumba
namba 72
ndio
kimbilio
letu
Usiku
huu
ni
wetu,
hakuna
wa
kutuzuia
Nyagi
mezani,
diner
ya
nguvu
tunakula
Mapenzi
yananoga,
moyo
unazidi
kuwaka
Chumba
namba 72,
siri
ya
usiku
huu
Kila
sekunde
tunayokaa
ni
ya
thamani
kwetu
Tukafika
tukashuka
tukapanda
ghorofa
ya
pili
Muhudumu
akatupa
uwanja,
chumba
tulikijali
Namba 72,
milango
imefungwa
salama
Mi
nikaagiza
nyagi
na
diner
bila
kujari
lawama
Dem
kajiumauma
mwishoni
akaagiza
kill
Ananitazama
kwa
jicho
la
kunitia
chill
Baada
ya
msosi,
kinywaji,
story
zikaendelea
Nauvuta
muda
wa
asri,
nataka
tuwe
pamoja
Chumba
namba 72
ndio
kimbilio
letu
Usiku
huu
ni
wetu,
hakuna
wa
kutuzuia
Nyagi
mezani,
diner
ya
nguvu
tunakula
Mapenzi
yananoga,
moyo
unazidi
kuwaka
Chumba
namba 72,
siri
ya
usiku
huu
Kila
sekunde
tunayokaa
ni
ya
thamani
kwetu
Kwanza
naunguza
nyuki
wasije
kunisumbua
Nataka
amani
tu,
mambo
yote
yakae
sawa
Alipokata
bia
ya
tatu
tu,
dem
akinikumbatia
Kifuani
akanilalia,
machozi
akaanza
kulia
Anasema
ananipenda
sana,
ila
kashanizingua
Juu
ya
kufanya
hivyo,
mapenzi
yanachanganya
Nakamshika
mkono,
namwambia
usijali
mpenzi
Maisha
yana
changamoto,
yale
ya
kila
msimu
na
mwezi
Futa
machozi
hayo,
tuko
hapa
kwa
ajili
ya
raha
Sio
kwa
ajili
ya
huzuni
au
vipingamizi
vya
shaha
Tutazungumza
kesho,
leo
ni
usiku
wa
mahaba
Japo
moyo
unaniuma,
nataka
tuwe
na
ladha
Atulizwe
na
beat
hii
ya
boom
bap
inayotamba
Mapenzi
ni
safari,
tunayopitia
kwenye
hili
kamba
Chumba
namba 72
ndio
kimbilio
letu
Usiku
huu
ni
wetu,
hakuna
wa
kutuzuia
Nyagi
mezani,
diner
ya
nguvu
tunakula
Mapenzi
yananoga,
moyo
unazidi
kuwaka
Chumba
namba 72,
siri
ya
usiku
huu
Kila
sekunde
tunayokaa
ni
ya
thamani
kwetu
Yeah,
ni 72.
Mapenzi
ya
kweli,
changamoto
zipo.
Lakini
mwisho
wa
siku,
tunaelewana. (
Chumba
namba 72)
Niko
nae,
ananipenda,
namuamini.
Amani
iwe
kwenu,
amani
iwe
kwetu.
Amani
iwe
kwenu,
amani
iwe
kwetu. (
Yeah,
boom
bap
mpaka
mwisho)
Peace.