Tanzania yangu eeeh, habari gani?, hakuna matata
This is Tanzania beautiful and peaceful country in the world
Tanzania yangu, nchi yangu yenye amani
Dar es Salaam hadi Zanzibar, kila kona amani kwetu kawaida
Mimi ni Mtanzania, na ninajivunia
Nchi yangu wahenga walisema mtu kwao, nchi ya kupendeza ooh Tanzania
Muziki, michezo, ni furaha kila mahali
Ugali, pilau, na chai ya asubuhi watanzania hatunyimani vyakula
Tufanye yote, ila karibu Bongo fill at home
Hapa ndipo nyumbani, hapa ndipo amani ilipo
Tanzania yangu, nchi ya kina mama na baba
Tanzania yangu, tunapiga kelele kwa furaha kuzaliwa Tanzania
Mimi ni Mtanzania, na nitaitunza Tanzania
Tanzania yangu, Afrika yangu
Nzuri inapendeza sana
Zanzibar bahari yetu, na marashi yake ya karafuu ooh Tanzania
Dodoma Mwanza, Mbeya ile mlima wa Uruguru bustani ya Mungu ziwa Victoria Ngosi na Rukwa njoo muone maajabu ya Amboni tanga huku kilele cha mlima Kilimanjaro aah Tanzania yangu
Tujenge pamoja, kwa kila rafiki
Hakuna kelele fujo wala yale ya generation Z mmh hapana, hapa ni mambo poa tuu omo
Tanzania na watu wake wa karimu kila jioni
Wanagonga cheers pamoja, hatujali ukabila wa dini together is one
Tunatoka Bongo, tunapendana sana
Tanzania yangu, nchi ya kina mama na baba
Tanzania yangu, tunapiga kelele kwa furaha kuzaliwa Tanzania
Mimi ni Mtanzania, na nitaitunza Tanzania
Tanzania yangu, Afrika yangu
Nzuri inapendeza sana
Tanzania yangu, tuitunze amani yasiwe kama yale ya Oktoba kisa itikadi! Ooh No no
Bongo forever in my heart I can sing and dance everywhere kwani amani ni yetu Tanzania
Habari gani? mambo vipi?, how are you? Karibu sana Tanzania
Ni Mwarabu kwenye hii tena