Yeah, uh-huh...
It's your boy, Sir Nixy!
Beautiful Linda...
You know I love you, baby.
Kila dakika, kila saa...
Listen.
Jua linachomoza, mwanga wa asubuhi
Macho yako Linda, yananiondolea dhiki
Natamani ningekuwa hapo karibu yako
Nishike mkono wako, nione tabasamu lako
Kila sekunde inayopita bila wewe mpenzi
Ni kama dunia imesimama, haina mapenzi
You are my morning star Linda, unang'ara moyoni
Sura yako tamu, kila saa ipo machoni.
Good morning baby, i wish i could start every day wrapped in your arms
Nataka ujue Linda nakupenda kuliko chochote duniani
Kila dakika, kila saa, uko kwangu kichwani
Nalienzi penzi letu milele na milele, my dear
Kila wakati nakupenda, strictly no fear.
Wake up, sweetie, Linda uone uzuri wa leo
Tabasamu lako ndio langu tegemeo
You are my ride or die, pacha wa yangu roho
Kwenye hii safari, sitokuacha hata kwa kishindo
Kila saa inayogonga, nataka nikuambie
Moyo wangu ni wako Linda, wengine wasisogee
I cherish this love, tangu asubuhi hadi usiku
Wewe ndio wangu wa maisha, sio wa siku.
Good morning babe, i wish i could start every day wrapped in your arms
Nataka ujue Linda nakupenda kuliko chochote duniani
Kila dakika, kila saa, uko kwangu kichwani
Nalienzi penzi letu milele na milele, my dear
Kila wakati nakupenda, strictly no fear.
Every minute, every hour, I will love you more, Linda
Moyo wangu kwako umefungua kila door
Hakuna mwingine, duniani kote
Nitalinda hili penzi, nyakati zote.
Asubuhi njema Linda, uwe na siku poa
Kumbuka mimi wako, hadi kifo kitatubomoa.
Mmmh, wrapped in your arms, Linda...
Sir Nixy on this one, yeah.
Every single day, yeah.
Nampenda yeye kuliko vyote.
Good morning, my love Linda.
Have a beautiful day.