[male
vocals] (
Oh,
Mama
Salome) (
Bado
nakukumbuka,
mama)
Septemba
kumi,
mwaka
elfu
mbili
na
kumi
na
nne
uliondoka
Ugonjwa
ulipokushinda,
mama
ukatutoka
Uliacha
pengo
kubwa,
nyumba
imekuwa
kimya
Maumivu
haya
moyoni,
ni
nani
atayatibu?
Wewe
mama
yetu
ulikuwa
mwanga
wetu
Sasa
giza
limeingia,
tunatafuta
nuru
ya
kutuangazia
Tibawa,
Salome,
mama
yetu
kipenzi
Tunakulilia
kila
siku,
ni
uchungu
mwingi
Watoto
wako(
hawaishi),
tunakukumbuka
sana
Ipo
siku
mbinguni,
tutakuja
kuonana (
Amen,
amen) (
Tutaonana
tena)
Baba,
tutaonana
tena
mama
Naitwa
Joanes,
mwanao
wa
mwisho
kabisa
Nimebakia
na
kumbukumbu,
zisizoweza
kufutika
Ulinifunza
upendo,
ulinifunza
uvumilivu
Sasa
nimekuwa
mtu
mzima,
nasimama
kwa
utulivu
Lakini
mama,
moyo
bado
unalilia
sauti
yako
Kila
nikitazama
nyuma,
naona
tabasamu
lako,
ulituacha
na
Baba
yetu
kipenzi,
lakini
nae
ugonjwa
haukumuacha,
aaah
ni
machungu
yasiyowezekana,
januari
ya
ishirini
na
moja
tukabaki
yatima
sir,
mzee
Tibawa
akatutoka,
Msimba
ndani
ya
msiba
Mama,
Baba,
wazazi
wetu
vipenzi
Tunawalilia
kila
siku,
ni
uchungu
mwingi
usioelezeka
kutoka
kwa
Watoto
wenu
saba,
tunawakumbuka
sana
ndio
maana
tunatumia
majina
yenu
kwa
watoto
wetu,
ila
Ipo
siku
moja
mbinguni,
tutakuja
kuonana (
Glory,
glory) (
Yesu,
wape
nguvu
baba
na
mama)
Safari
hii
ni
ndefu,
tunasonga
kwa
imani
Ingawa
mmepumzika,
upo
ndani
ya
moyo
wetu
milele
Hatutasahau
uliyotufanyia,
Baba
na
mama
Tutabeba
urithi
wenu,
tutaendeleza
jina
lako
la
Tibawa(
hawaishi) (
Hallelujah,
tutaonana)
Kuna
wakati
najihisi
pekee,
bila
mwongozo
wako
Nakatazama
picha
zako,
nikikumbuka
upole
na
busala
zako
tuliobaki,
tunashikilia
ahadi
ya
Bwana
Kwamba
siku
moja,
tutakuja
kuonana
mbinguni
Mlale
salama
wazazi,
mlitupenda
kwa
dhati
Tibawa,
Salome,
mama
yetu
kipenzi
Tunakulilia
kila
siku,
ni
uchungu
mwingi
Watoto
wako(
hawaishi),
tunakukumbuka
sana
Ipo
siku
mbinguni,
tutakuja
kuonana (
Amen,
amen) (
Tutaonana
tena)
Baba,
tutaonana
tena
mama
Baba,
tutaonana
tena
mama
Joanes
anakupenda,
daima
milele (
Pumzika
kwa
amani) (
Tutaonana)
Ni
TIBA
SOUND
RECORDS(
Producer
Mulo)