[male vocals] Oh,
yeah
prince
Mmm,
Kelvine,
écoute-moi
Baby,
mimi
naimba
kwaajili
yako
Mawazo
yangu
yote
iko
kwako
wewe,
nime
kuchagua
wewe
uwe
wangu
siku
zote,
Hakuna
anayeweza
kunipa
mapenzi
mimi
kama
siyo
wewe,
napo
kuwaza
akili
yangu
yote
ina
baki
kwako
wewe,
nime
ku
ahidi
mema
zaidi,
Kelvine,
tu
es
la
mélodie,
tu
es
ma
seule
addiction
Niki
kukosa
na
kamata
hata
picha
yako
moja
ili
nikuone
Wewe
heeeee
wewe
ndiye
wangu
Kelvine,
mon
amour,
nime
kuchagua
wewe
kati
ya
wote
Dansons
serrés,
laisse
battre
ton
cœur
contre
mon
cœur
oh
la
la
oh
la
la (
kelvine
wewe
ndiye
wangu
siku
zote)
oh
la
la
oh
la
la (
kelvine
sioni
shida
nikiwa
na
wewe)
Oh,
nasikia
raha
kupendwa
na
wewe!
oh,
nasikia
raha
kupendwa
na
wewe!
Kelvine
mon
amour
Mimi
sijali
maneno
ya
duniani,
ata
waseme
nini
wewe
ndiye
nime
kuchagua
maishani,
hata
dunia
ikipita,
mimi
nawewe
tuende
tuishi
kwenye
dunia
nyingine,
Le
monde
peut
bien
s'arrêter,
tu
restes
ma
plus
belle
Je
te
promets
des
bonheurs
nime
ku
ahidi
mema
zaidi
Kelvine,
ma
perle,
je
n'appartiens
qu'à
toi
tulipo
pendana
mara
ya
kwanza
nakumbuka
kicheko
chako
uli
nionesha
upendo
ambao
sijawahi
kuona
hata,
kwako
sina
matata,
kweli
mimi
nime
pata
Kelvine,
mon
amour,
nime
kuchagua
wewe
kati
ya
wote,
Dansons
serrés,
laisse
battre
ton
cœur
contre
mon
cœur
oh
la
la
oh
la
la (
kelvine
wewe
ndiye
wangu
siku
zote)
oh
la
la
oh
la
la (
kelvine
sioni
shida
nikiwa
na
wewe)
Oh,
nasikia
raha
kupendwa
na
wewe!
oh,
nasikia
raha
kupendwa
na
wewe!
Kelvine
mon
amour
Je
t'aime,
je
t'aime
plus
que
les
mots
ne
peuvent
dire
Nasahau
yote
napo
kuona
wewe
hata
niki
kukosa
na
kamata
hata
picha
yako
moja
ili
nikuone
Mmm,
viens
ici,
bébé
prince
je
t'aime
La
vie
nous
offre
ce
moment,
saisissons
cette
chance
Tuwe
wapendanao
mpaka
mwisho
Kelvine,
mon
étoile,
wewe
ndiye
mke
mzuri
zaidi
kwangu,
Beauté
nayo
kitoko
mutoto
kaumbika
Kelvine,
mon
amour,
nime
kuchagua
wewe
kati
ya
wote,
Dansons
serrés,
laisse
battre
ton
cœur
contre
mon
cœur
oh
la
la
oh
la
la (
kelvine
wewe
ndiye
wangu
siku
zote)
oh
la
la
oh
la
la (
kelvine
sioni
shida
nikiwa
na
wewe)
Oh,
nasikia
raha
kupendwa
na
wewe!
oh,
nasikia
raha
kupendwa
na
wewe!
Avec
toi,
Kelvine,
je
n'ai
besoin
d'aucun
décor
Kelvine,
mon
amour,
danse
encore
Juste
toi
et
moi,
prince
nakupenda
Yeah,
c'est
pour
la
vie,
Kelvine
Oh,
mmm...