Frobits
🎵 A song made on Frobits

Njia Ya Injili

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Oyaah this is to my one and only girl Happiness hahahah utaipenda hii….

Mapenzi si mchezo, Mapenzi si kitoto

Haki yanani Mr Black nimezama…

Haikuwa jua, Haikuwa mvua, ni moyo wangu ukafunguka..

Mtoto ukaingia..waooooh

Nikasikia Amani, Nikasikia furaha, Nikasikia faraja moyoni ukanijaa…

Katika moja na mbili, sikuwaza mara mbili mtoto ukaniteka hahahahahha mateka kudadadekii

Nakuita Honey

Nakuita Ngochi. yaani ngochiwane

Nakuita Gorgeous Mama

Superwoman mtoto mzuri wa kinyiramba..

Mpenzi wangu..rafiki yanguuu…uliposhikilia wallah endelea kuminyaaa

Mama la Mama… Happiness wangu..Mama watoto… nahata ikijirudia wallah nakuchagua wewe kudadadekiii..

Bonge la Mama.. katika maombi yako ongeza nipate pesa nyingi nikununulie ndinga…

Pamba kali na manukato kwa mbali… na hata ikiwezekana vacation ukalale Dubai

More songs by ItsgonnabeOk360° Listen to songs created by others
FROBITS