Aisha, Aisha wangu
Wewe ndo kilakitu
Tangu siku ile nikuone
Moyo wangu haukai pumzika
Aisha wewe ni dawa yangu
Mpenzi wangu wa kweli
Ndoto zangu zote ni wewe
Usiku na mchana nakufikiria
Urembo wako haulinganiki
Aisha wewe ni malkia wangu
Aisha we ndo kilakitu kwangu
Bila wewe maisha hayana maana
Aisha we ndo kilakitu kwangu
Moyo wangu ni wako tu
Aisha we ndo kilakitu kwangu
Aisha we ndo kilakitu kwangu
Aisha we ndo kilakitu kwangu
Aisha we ndo kilakitu kwangu
Moyo wangu ni wako tu
Aisha we ndo kilakitu kwangu
Aisha we ndo kilakitu kwangu
Wewe ndo kilakitu kwangu