Frobits
🎵 A song made on Frobits

Yale Ametenda Ndani Yangu (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Yale Ametenda Ndani Yangu Hakuna Awezaye Kunitendea
Yalee

WOKOVU Alonifanyia Bwana Yesu Hakuna Awezae Kuondoa
Yale Ametenda Ndani Yangu Hakuna Awezaye Kunitendea
Milima Na Mabonde Bwana Amenivusha Sifa zote Ni zake
Yale Ametenda Ndani Yangu Hakuna Awezaye Kunitendea
WOKOVU wa Milele Bwana Amenipatia Wala Hakuna Wa Kuniondolea
Yale Ametenda Ndani Yangu Hakuna Awezaye Kunitendea
alinichagua tangu asili,akaniita; akanihesabia haki; akanitukuza.
Yale Ametenda Ndani Yangu Hakuna Awezaye Kunitendea
Basi, Niseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wangu, ni nani aliye juu yangu?
Yale Ametenda Ndani Yangu Hakuna Awezaye Kunitendea
Ahaaaha Ni Mtembeo Wa Neema The Grace walk

More songs by josephlaizer689 Listen to songs created by others
FROBITS