Frobits
🎵 A song made on Frobits

Wokovu wa Milele

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Kutoka Mtembeo Wa Neema Kisarawe II Kigamboni
WOKOVU WAKO NI WA MILELE
Wokovu sio wa muda. Wokovu ni kazi ya milele ya Mungu iliyotimizwa kupitia kufa, Kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo.
Muumini hajaribu kuokolewa; mwamini ameokolewa milele kupitia imani katika Kristo. 👇 Ikiwa wokovu unaweza kupotea, basi uzima wa milele sio wa milele, ukombozi haujakamilika, na dhabihu ya Kristo haitoshi.
Wokovu ni nini?
Wokovu ni ukombozi kutoka kwa dhambi na matokeo yake kupitia kazi Timilifu Ya Msalaba
Amini Sasa Acha Kutegemea Matendo Yako Tegemea Kazi Ya Msalaba Pekee

More songs by josephlaizer689 Listen to songs created by others
FROBITS