[female vocals] Baba
ulitutoka
na
kutuacha
wadogo,
tunakukumbuka
daima
ucheshi
wako
huruma
yako
na
hata
nyakat
zako
ambazo
ilibidi
kua
mkali
ili
kutunyoosha
watoto
wako,
ni
miaka 31
imepita
tangu
ufariki
dunia
maisha
hayakua
mepesi
ili
tunashukuru
mungu
kwa
misingi
iliotuachia
baba,
i
wish
ungekuwepo
japo
tupige
story
kwa
mala
ya
mwisho,
i
wish
ungekuwepo
japo
tukutunze
na
kuludisha
yale
uliotufanyia,
i
wish
ningekuona
japo
kwa
mala
ya
mwisho,
ila
ni
mipango
ya
mungu
nikilalamika
ntakua
nakufuru
mungu
ila
nasema
asante
kwa
yote
asante
kwa
maisha
ambayo
nimeshare
na
wewe,
asante
kwa
kua
baba
bora