Cabinenga Cabinenga, washua (yeah)
Wakuu wa Cabinet, washua kishua (let's go)
It's Munduli on the track, check it
Munduli mabegani, check it (skrrt)
Ndio naingia sasa, ndio naingia!
Yeah, nashika kipaza, verse nazicharaza
Nawalaza viraza, nakimbiza mtaa kwa mtaa
All the way from Cabinet, hakuna kulaza
Tuna show love, hatunaga kukunja
Cheche zinatembea, wapinzani midomo wazi wanaongea
Hatujali daily, mbele tunasogea (no cap)
We don't care hata daily wakitutajia
Mara mweusi, wakili msomi, kule Putin, sosa
Mara mtabe tunakula maisha kinyamwezi yaani kibabe
Tunazisaka zetu sio za mazabe
So you watch out, tusije tukuzabe (sheesh)
Hii ni Cabinet dude kubwa, yeah
Full idara zote cheza mbali usije ukapewa
Mali sisi hatutaki zenu kamali (no cap)
Cabinenga, yeah, Munduli (let's go)
Mabegani baba, yeah!
Bella, Magi, Meli, Tau, Jimmy Jimmy
Michael Sunga na Tumbo Tumbo tunakimbiza kimbiza
No worries, kikosi kiko fit, no shawtys, no drama
Hakuna kudeka sisi sio mama's babies
Tunasaka maisha, hatuna kuremba hapa (skrrt)
Hii ni Cabinet dude kubwa, yeah
Full idara zote cheza mbali usije ukatupa
Mali sisi hatutaki zenu kamali (no cap)
Cabinenga, yeah, Munduli (let's go)
Mabegani baba, yeah!
Munduli on the track, yeah
Cabinet, we out
Cabinenga, washua!