[male
vocals] (
Hallelujah) (
Msifuni)
Twakuhitaji
Bwana,
simama
nasi
leo
Onaa
onaa
mambo
yanabadirika
Yale
uliyo
yasema
kweli
yanatokeaa
Upendo
wa
wengi
unapoaa
Dhambi
zinaongezeeka
Binadamu
kama
wanyama
Wenyewe
tuna
uwana
Hakuna
hofu
yako
Baba
ee
Sasa
dhambi
ni
sherehee
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Tunatweta
kwa
huzuni
dunia
inawaka
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Ooooh
oooh
Oooh
Eti
kisa
pesa
Mungu
Uliyo
sema
ya
kaisali
Hiyo
yatupiga
pingu
Tunakukosa
wewe
Mungu
Wengine
wanadiriki..
Hata
kuzipiga
ramuli..
Kukesha
huko
kwa
waganga..
Wazipate
hizo
mali..
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Tunatweta
kwa
huzuni
dunia
inawaka
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Siraha
YETU
ni
wewe
ooh
Mungu
usiye
lala
Bwanaa
Hatupigani
kwa
nyama
aaah
Vita
YETU
ni
ya
rohoo
Tunahitaji
mwanga
wako
Bwana
utuangazie
Ondoa
hili
giza
Bwana...
Utujalie
kushndaa
eee
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Tunatweta
kwa
huzuni
dunia
inawaka
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Ooooh
oooh
Oooh
Hatuna
mwingine
wa
kumkimbilia
Ni
wewe
tu
mwamba
wetu
wa
milele
Onyesha
nguvu
zako
katikati
ya
majaribu
Uinuke
Mungu
wetu,
tushinde
ulimwengu
Kuna
amani
katika
jina
lako
Tunakungoja
wewe
pekee
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Tunatweta
kwa
huzuni
dunia
inawaka
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee
Twakuhitaji
Mungu,
simamaa
weee (
Amen,
Amen)
Tunakuhitaji
kila
saa
Simama
nasi,
Bwana
wetu (
Thank
You
Jesus)
Simama
nasi
milele.