Nitamtolea bwana kwa furaha,
Alicho nipa yeye, namrudishia.
Nitamtolea bwana kwa furaha,
Alicho nipa yeye, namrudishia
Amenipa amani,
Amenipa furaha
Ee alichonipa yeye
Namrudishia
Amenipa kicheko
Amenipa uzima,
alichonipa yeye
Namrudishia
Natoa vyote alivyo nijalia mwokozi wangu
Kwani kutoa nimoyo nawala siutajiri
Mimi
Natoa vyote alivyo nijalia mwokozi wangu
Kwani kutoa nimoyo nawala siutajiiiri.
Kumbuka yesu mwenye, alijitoa kufa kwaajili ya mtu mmoja aweze
kukombolewa, aaa
Sisi akina nani hata tusimtolee Mwokozi wetu uuu
Sisi akina nani hatatusitoe chote eeeeeee
Nitamtolea bwana
kwa furaha,
Alicho nipa yeye,
namrudishia
Baba toa, toa, toa
mama toa, toa upate baraka.
Nawe kaka toa toa, toa
Ubarikiwe
Mashamba yako yata barikiwa
Biashara zako zitabariwa
Wewe toaa , toa toa toa kwake Ubarikiwe eeee
Kasonje