Frobits
🎵 A song made on Frobits

Ebola Inauwa

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

Niite docta Caleb karusi boy from nyak,
Ebola, Ebola, Ebola inauwa....
Ndugu dada tujilinde n'a magonjwa ya ebola,
Mama n'a baba ange na Ebola inauwa, tuwe makini sana sababu inauwa wadjamaa.
Sasa tunawe mukono nakuvala mask sababu hali iko mubaya sana, mipaka za inchi zimefungwa , shuleni watoto hawaendi,na sokoni hawatupendi,,,
Sasa docta Caleb karusi nawashauri sana n'a ange na alama hizi,
Homa kali ya ghafla na baridi, uchovu na udhaifu mkubwa, maumivu makali ya kichwa na koo, na pia maumivu ya misuli na viungo
Kati ensi, twekuume ku ndwadde za Ebola, Congo ne Uganda, twegendereze nnyo.
Goma butembo mpaka beni luttons contre l'ebola mais amis
Kyangwali, kasonga mpaka Mombasa kwetu ange na ebola
Caleb karusi Nime maliza Ila mungu atuepushe naili njanga ya ebola,
Enock , Nathan,eze,happy sote tujilinde na Ebola
Caleb'art boy from nyak

More songs by mborogoma Listen to songs created by others
FROBITS