Frobits
🎵 A song made on Frobits

Sauti ya Sifa

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Ikiwa Mbigu ni kiti chako cha Enzi
Na Duniani ni mahali pakuweka miguu yako
Je nitajenga nyumba ya namna gani?
Na auishi kwenye nyumba zilizojengwa kwa mikono ya wanadamu
Mmmm mmmh mmmmmh
Wewe unaketi kwenye moyo uliyotubu nakunyenyekea utetemekapo usikiapo neno La Mungu
Umeketi katika mbingu za mbingu za mbingu kwenye Giza nene umejaa Utukufu na heshimaaah
Ni wewe Yesu
Ni wewe Yesu
Umejaa sifa
Ni wewe oooh
Ni wewe Yesu
Hakuna aliye kama wewe ee*2
Natamani nikaa nyuani mwako siku zote maisha yangu
Kumbe wewe unaishi ndani yangu kumbe mimi sijuii
Bwana yesu rejesha furaha ya uokovu wangu
Rejesha Amani ya moyo wangu
Rejesha kiu ya maombi ndani mwangu
Ni wewe Yesu
Ni wewe Yesu
Umejaa sifa
Ni wewe oooh
Ni wewe Yesu
Hakuna aliye kama wewe ee*2

More songs by Gasto Listen to songs created by others
FROBITS