PMJ –VUHINDA YANI UTAJIRI.
Eh... eeh...
Uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Utajiri, pesa, magari na majumba vitaachwa.
Sikiliza ujumbe huu...
---
Wakurogana rogana wapo,
Kulatakuchilewesha ila,
Kilichopangwa na Mola,
Ipo siku kitakuja kutimia.
---
Utajiri wa kwanza ni uhai,
Ulopewa na Mungu bure.
Utajiri wa kwanza ni uhai,
Ulopewa na Mungu bure.
Bibi na watoto,
Pesa na magari,
Mashamba na majumba,
Hiyo yote ni mali ya dunia.
Utakuja kuviacha,
Utaenda bure dunia.
Ulikuja bure dunia,
Utaenda bure.
---
Vuhinda vukhuranga,
Nuvulamu bwa vwakhwahelwa,
Na Nyasaye butswa.
Kwani utajiri wa kwanza,
Ni uhai ulopewa na Mungu bure
---
Mambo ya dunia,
Yasifanye ujiharibie kitu.
Mambo ya watu,
Yasifanye ujiharibie maisha.
Kama unateseka leo,
Vindu vichenjanga mwenzangu.
Kama unateseka leo.
Usikate tamaa.
Mwenzangu.
---
Wakurogana rogana wapo,
Watakuchilewesha ila,
Kilopangwa na Mola,
Ipo siku kitakuja kutimia.
---
Vuhinda vukhuranga,
Nuvulamu bwa khwahelwa,
Na Nyasaye butswa
Mukhali na vana,
Tsisendi ni mitokaa,
Milimi ni tsinzu.
Vyakha chila wonoinyi shindu,
Ni vindu vishivala.
Via khachila wonoinyi shindu,
Ulitsa khuvilekha.
Vya khachila wonoinyi shindu,
Ulitsya khuli witsa.
Vyakha chila wonoinyi shindu.
Nuwenyi umenye vulahi,
Hanangaa luyali muvandu.
Yivi ulokanga vandu,
Shulimenyaa vulahi.
Khali numenya vulahi,
Vanavo shivalimenya vulahi.
---
Vuhinda vukhuranga,
Nuvulamu bwa khwahelwa,
Na Nyasaye butswa.
Vuhinda vukhuranga,
Nuvulamu bwa khwahelwa,
Na Nyasaye butswa.
---
Makhuva kishivala,
Kakhachila wonoinyi shindu.
Makhuva ka vandu,
Kakhachila wonoinyi shindu.
Ulitsya khuli witsa,
Kakhachila wonoinyi shindu.
Ulitsa khutsya mwele,
Kakhachila wonoinyi shindu.
Vuhinda vukhuranga...
Vuhinda vukhuranga...
Vuhinda vukhuranga...