Kasonje, kasonje...
Nitendee Mungu, kwenye Maisha yangu,
Nitendee baba, Niweze kubarikiwa,
Kama ulivyowatendea wengine, kwenye Maisha yao,
Nomba namimi Yesu unitendee.
Nitendee Mungu, kwenye Maisha yangu,
Nitendee baba, Niweze kubarikiwa,
Baraka zipo wakati wote,
Haziwahi, hazichelewi!
Nimesikia maneno ya watu wakisema,
Wewe huwezi kubarikiwa,
Wewe huwezi kupata watoto,
Lakini Mungu si kama watu!
Nitendee Mungu, kwenye Maisha yangu,
Nitendee baba, Niweze kubarikiwa,
Baraka zipo wakati wote,
Haziwahi, hazichelewi!
Sara ujana wake wote hakupata mtoto,
Lakini hakumwacha Mungu,
Uzeuni ajabu akabariwa,
Akapata mtoto uzeeni!
Simama na Yesu, simama na Yesu,
Simama na Yesu kwani baraka zipo,
Japo watu watasema mangapi,
Wewe simama, utabarikiwaa!
Nitendee Mungu, kwenye Maisha yangu,
Nitendee baba, Niweze kubarikiwaaaa,
Kasonjee!