Kwa maana kila aombaeee hupokea hupokea
Naye atafutaeeee huonaa
Naye abishaeee atafunguliwaa
Kwa maana kila aombaeee hupokea hupokea
Naye atafutaeeee huonaa
Naye abishaeee atafunguliwaa
Mwanamkee Anna alimuomba Bwana mtotoo
Naye Bwana akampa mtoto samwelii
kwa juhudi yake ya maombi naye Bwana akamsikiaaa
Mwanamkee Anna alimuomba Bwana mtotoo
Naye Bwana akampa mtoto samwelii
kwa juhudi yake ya maombi naye Bwana akamsikiaaa
Anna akasema naliomba nipate mtoto huyu
Naye Bwanaa akanipa dua niliyomuombaa .
Anna akamtoa samweli atumike hekaluni mwa Bwana
Anna akasema naliomba nipate mtoto huyu
Naye Bwanaa akanipa dua niliyomuombaa .
Anna akamtoa samweli atumike hekaluni mwa Bwana
Lakini sisi mtembeoo
Tumeianza kazi eeeh Tukiomba kwa uhakika shetani akimbie kambi eeeh
Lakini sisi mtembeoo
Tumeianza kazi eeeh Tukiomba kwa uhakika shetani akimbie kambi eeeh
Kaauli mbiu yetuu eeeh kauli mbiu
mtembeo
kauli mbiu yetuuu jamani kauli mbiu mtembeo
Kaauli mbiu yetu eeeh kauli mbiu
...mtembeo
kauli mbiu yetuuu jamani kauli mbiuu
... mtembeo
Mtembeo tunasema msalabaaa msalabaaa
ndio upatanisho
Mtembeo tunasema msalabaaa msalabaaa
ndio upatanisho
Upatanisho upatanisho
Upatanisho upatanisho
Mpaka waokokee.
Eeeee Ahahaaa
Na Hii Ni Mtembeo Wa Neema