[male vocals] Mpendwa
Baba
yangu,
Frank
mukabi
Natumaini
uko
salama
na
unaendelea
vizuri.
Nimeona
niandike
barua
hii
kukueleza
jambo
ambalo
huenda
sijasema
mara
nyingi
kwa
maneno,
lakini
lipo
ndani
ya
moyo
wangu
kila
siku.
Baba,
nakupenda
sana
na
ninakuthamini
kwa
kuwa
wewe
ni
sehemu
muhimu
ya
maisha
yangu.
Najua
umejitahidi
kabisa
niwe
na
maidha
mazuri,
lakini
pamoja
na
changamoto
na
nyakati
mbalimbali
tulizopitia,
bado
wewe
ni
baba
yangu
na
nafasi
yako
moyoni
mwangu
ni
ya
pekee.
Nataka
pia
ujue
kwamba
ninakudhamini
na
niko
tayari
kuwa
bega
lako
pale
nitakapoweza.
Sitaki
ujisikie
uko
peke
yako
unapopitia
changamoto.
Kadiri
Mungu
anavyonipa
uwezo,
nitajitahidi
kukusaidia,
kukuheshimu
na
kuhakikisha
unapata
faraja
na
upendo
unaostahili.
Asante
kwa
kuwa
baba
yangu.
Namuomba
Mungu
akupe
afya,
maisha
marefu,
amani
na
furaha.
Natamani
siku
zote
uwe
na
uhakika
kwamba
kuna
mtoto
wako
anayekupenda,
anayekuthamini
na
anayejali
maisha
yako.
Nakupenda
sana,
Baba.
Mungu
akubariki
na
akulinde
daima.
Kwa
upendo
na
heshima
kubwa,
Mwanao
koome
mukabi
Baba
yangu
baba
baba
nakupenda
sana
baba
MUNGU
akubariki