Janet wangu, nakupenda sana
Sikia hii... yaa!
Moyo wangu unapiga kwa ajili yako tu
Kila sekunde nakuwaza wewe Janet wangu....aaaah!
Urembo wako unameta kama dhahabu safi
Ukinichekea mimi napata majibu yote
Nataka nikupe maisha ya raha na amani ya kweli..yaah
Wewe ndiye malkia wangu hapa duniani
Janet wangu, Janet wangu, nakupenda sana
There no one like you in my life
Janet wangu, Janet wangu, usiniache pekee since you came in my life, nabaafye uwansansa uwasekasekafye lyonse
Moyo wangu ni wako, wewe tu uutunze
Iwe naine baby mwandi ni forever and ever
Kila hatua ninayopiga nataka uwe nami kabisa no one like you my queen
Upendo wako mtamu sana, unanipa joto ndani
Hakuna mwingine wa kulinganishwa nawe
Katika maisha yangu yote nataka wewe pekee
Tutaenda mbali sana, hatutaachana kamwe
Nyota yetu inang'aa, hakuna wa kuizima
Janet wangu, Janet wangu, nakupenda sana and really mean it
Tangu asubuhi hadi usiku, kucha na mchana
Janet wangu, Janet wangu, usiniache pekee
Moyo wangu ni wako, wewe tu uutunze
Asante Janet...ma Bebe
Malkia wangu...God gave me
Hadi mwisho wa dunia...
Nakupenda, kabisa! My beautiful!!.