Mwili huu wa asili utabaki hapahapa
Kisha mimi nitavikwa mwili wa utukufu
Hapo ndipo nitapaa kweenda kumlaki Bwana
Nitaimba na kusifu milele na milele
Mwili huu wa asili utabaki hapahapa
Kisha mimi nitavikwa mwili wa utukufu
Hapo ndipo nitapaa kwenda kumlaki Bwana
Nitaimba na kusifu milele na milele
oooh! Acha ya mwili weeh,
hayoo ni ya kupita
Waala usiutazame
hataa kuwasha tamaa zake.
Oooh!! Kwa mwili wa kiroho,
umejaa utukufu,
Ooh! Kule paradiso weeh
tuutaruka kama tai!
oooh! Acha ya mwili weeh,
hayoo ni ya kupita
Waala usiutazame
hataa kuwasha tamaa zake.
Oooh!! Kwa mwili wa kiroho,
umejaa utukufu,
Ooh! Kule paradiso weeh
tuutaruka kama tai!
Baba, mamaa, kaka, dadaa, usishindwe na mwili
Bali uushinde mwili na tamaa zake zote
Mwili, roho vyashindana katika maisha yetu
Ulitoka mavumbini, utarudi mavumbini.
Baba, mamaa, kaka, dadaa, usishindwe na mwili
Bali uushinde mwili na tamaa zake zote
Mwili, roho vyashindana katika maisha yetu
Ulitoka mavumbini, utarudi mavumbini.
Ooh! Acha ya mwili wee
hayoo ni ya kupita tu!
Ooh! Kwa mwili wa kiroho,
umejaa utukufu,
Ooh! Kule paradiso weeh,
tuutaruka kama tai
Ooh! Acha ya mwili wee
hayoo ni ya kupita tu!
Ooh! Kwa mwili wa kiroho,
umejaa utukufu,
Ooh! Kule paradiso weeh,
tuutaruka kama tai