Frobits
🎵 A song made on Frobits

Njooni Kwangu (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Njooni kwangu, ninyi njoote
Msumbukao na kulemewa na mizigo mizito ya dhambi, niwapumzishe asema Bwana
Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa
Na mizigo mizito ya dhambi, niwapumzishe asema Bwana
Kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi
Nanyi mtapata raha, raha mioyoni mwenu.
Kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi, nanyi mtapata raha, raha mioyoni mwenu...... Unangoja nini wewe,
Unangoja nini ndugu yangu wewe
Unataka nini ndugu yangu
Mbeba mizigo anakuita
Tua mizigo yako msalabani.
Unagonja nini ndugu yangu wewe unataka nini ndugu yangu, mbeba mizigo anakuita, tua mizigo yako msalabani.
Acha mambo yote yaliyo machukizo
Mbele zake Mungu mfuate Yesu
Sauti yake Yesu tena ni ya upole
Inakubembeleza mfuate Yesu
Acha mambo yote yaliyo machukizo
Mbele zake Mungu mfuate Yesu
Sauti yake Yesu tena ni ya upole
Inakubembeleza mfuate Yesu.
Njooni kwangu, njooni kwangu
Mtapata raha mioyoni mwenu

More songs by Mwl. Listen to songs created by others
FROBITS