Nitengenezee Amapiano Kali sana sana, ya Kusifia Pabu inaitwa Mbwembwe tulivu Pabu, elezea vinywaji vyote vipo, msifie Mburute na Ngozi mbona wanachelewa Wawahi, pia Msifie Babeli Mwambie ajitahidi kwenda na muda kufika Pabu yetu ya Mbwembwe Tulivu iliyopo chini ya Mwembe Shighatini,
Waambie walio Ndambwe, mfinga, kikweni Sachi lambo Na Ugweno , tunawasubiria mambo yamenoga huku ,
Sema Mzee Kizango upo wapi unatakiwa ukilishe wazee ,
Pia Kijana Mdogo Kibo kutoka Mfinga Mwambie awahi na Group lake
Kakuru, Mcharo Mpo wapi?
Kijana Wangu Piere,unatisha, Rama , Mandonga ni balaa nyingine, Tunakuelewa balaa,
Dr janu Tumekumisi sana
Hapa ndio Shighatini Tujipbanie hapa ni Kwetu
Wapi Siro?
Tengeneza amapiano ya ukweli yenye midundo balaa ya night club