Mr Dreezy, someone wa somebody
TAKUKURU ni Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa
Toa taarifa kwa TAKUKURU kuhusiana na vitendo vya Rushwa kwa kufika katika ofisi za Takukuru, kupiga simu ya bure namba moja moja tatu
Tuukatae udharimu wa watu wasiopenda maendeleo ya nchi yetu watu wanaojilimbikizia Mali na kuihujumu serikali
Toeni taarifa juu ya watu wanaoiba mali za serikali na kudhoofisha miradi mbali mbambali ya serikali
Kuna haja ya kila mwananchi kujiona Ana jukumu la kuipinga na kuikataa rushwa si tu kwa maneno bali kwa vitendo
Kauli mbiu ya TAKUKURU inasema “Kuzuia Rushwa ni jukumu lako na langu tutimize wajibu wetu”
Hivyo kila mtanzania atimize wajibu wake katika kuipinga rushwa
Tuwe wazalendo kwa nchi yetu maana hatuna Tanzania nyingine bali tunapaswa kuendelea kuiboresha nchi yetu Tanzania iwe bora kwa kuhakikisha utawala bora unaonekana na unawanufaisha wananchi wa Tanzania.
Rushwa ni adui wa haki na maendeleo
Rushwa hudhoofisha juhudi zote zinazofanywa na wazalendo wapamabanaji tuikatae rushwa kwa nguvu zote
Davis Junior