Frobits
🎵 A song made on Frobits

Mapumziko ya Keneti

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Familia

ya

Galiel

Kasenene,

Imepata

pigo

kubwa

na

huzuni,

Kwa

kumpoteza

mtoto

wetu

mpendwa,

Keneti

Mulundana

Jeraradi,

Kutoka

Rwanyango,

Kyerwa.

Mtoto

wetu

Keneti

Mulundana,

Aliyezaliwa

tarehe

ishirini,

Mwezi

wa

kwanza

mwaka

elfu

mbili

na

kumi

na

moja,

Rwanyango.

kyelwa

Baba

yake

Jeradi

kasenene

analia

mama

yake

Judith

Damiani

Wape

nguvu

na

faraja,

Ee

Bwana.

Baba

yake

Jeradi

kasenene

analia

mama

yake

Judith

Damiani

Wape

nguvu

na

faraja,

Ee

Bwana.

Keneth

apumzike

kwa

amani,

Na

sisi

tuliobaki

tupe

faraja.

Ndugu

zake

Aziwa,

Litha,

Getsi,

Mwaka,

Kevini

na

Gift,

Leo

tunalia

kwa

huzuni,

Tumepoteza

ndugu

yetu

mpendwa,

Maisha

yana

mwisho,

hatujui

lini,

Leo

tupo

pamoja,

kesho

hatujui,

Kila

More songs by Eradius Listen to songs created by others
FROBITS