HAKUNA AJUAYE KWA HAKIKA
Hakuna ajuaye kwa hakika aah
Siku na saa ya kuja kwa Bwana aah
Bwana hajui hata malaika, ila ni Mungu Baba mwenyewe
Tukeshe kwani hatujui iii
Siku Ile ajapo Bwana
Atakuja kama umemeee
Tuweni tayariii
Mawinguuuni
Siju ile ajapo
Mawinguuuuni
Tuweni tayariiii
Kama ni asubuhi atakujaa Bwana
Au mchana au jioni atakuja
Au aje usiku wa manane
Tuweni tayariii
Kama ni asubuhi atakujaa Bwana
Au mchana au jioni atakuja
Au aje usiku wa manane
Tuweni tayariii
Tukeshe wapendwa ebu tukesheee
Tusichoke tusikate tamaa
Katika siku tusiyoidhani, mwana wa Adamu yuaje, mawinguni.
Katika siku zile za mwisho, upendo wa wengi utapoa, taifa kupigana na taifa lingine.
Na ndugu kwa ndugu kusalitiana watoto wa baba mmoja
Na manabii wa uongo watatoa ishara nyingi
Na wengi watakuja kwetu kwa jina la Bwana Yesu,
Tazama kristo yupo hapa au yupo pale
Leo yuko mashariki, na kesho magharibi
Tujiadhari, na manabii wa uongo,
Tujiadhari na makristo wa uongo
Tujiadhari na manabii wa uongo
Tujiadhari iii
Na makristo wa uongo oooh oooh tuweni tayariii
Kama ni asubuhi atakujaa Bwana
Au mchana au jioni atakuja
Au aje usiku wa manane
Tuweni tayariii
Kama ni asubuhi atakujaa Bwana
Au mchana au jioni atakuja
Au aje usiku wa manane
Tuweni tayariii
Bwana Yesu alisema, siku ya kuja kwake haijui
Atakuja bila tangazo wala taarifa maredioni, magazetini kwenye runinga hauna atakayekuwa na habari
Bwana Yesu alisema, siku ya kuja kwake haijui
Atakuja bila tangazo wala taarifa maredioni, magazetini kwenye runinga hauna atakayekuwa na habari
Bali wale wanyoofu wa moyo na wateule watakwenda naye kwa Baba!!