[male vocals] Kisana
Senta
ya
Kati,
sikia
hii!
Vijana
amkeni,
kazi
iendelee,
asambe!
Kisana
Senta
ya
Kati,
mahali
pa
maendeleo
Tunashika
jembe,
tunapanda
kahawa
kwa
bidii
Migomba
inastawi,
mahindi
yanatupatia
shibe
Maharage
shambani,
tunavuna
pesa
bila
kuchelewa
Kazi
ni
kazi,
vijana
tusikate
tamaa
Biashara
tunafungua,
tunajenga
uchumi
wetu
Kisana
Senta
ya
Kati,
tunapambana
hatuchoki
Tunatafuta
hela,
kwa
jasho
letu
tunatoka
Kilimo
cha
mibuni,
kahawa
inaleta
neema
Vijana
amkeni,
huu
ni
wakati
wa
kushinda
Ziwa
Burigi
kule,
wavuvi
wanatupa
nyavu
Samaki
wanatoka,
tunaleta
Senta
ya
Kati
Ufugaji
wa
ng'ombe,
mbuzi,
kondoo
na
kuku
Nguruwe
wanapendeza,
biashara
inakwenda
kasi
Kantebe
mzee
wa
ngeli,
njoo
tule
kitimoto
Tupige
stori
za
maana,
maisha
yaendelee
Kisana
Senta
ya
Kati,
tunapambana
hatuchoki
Tunatafuta
hela,
kwa
jasho
letu
tunatoka
Kilimo
cha
mibuni,
kahawa
inaleta
neema
Vijana
amkeni,
huu
ni
wakati
wa
kushinda
Alneti
mkashari,
vinywaji
moto
kwa
Brasi
Baridi
kwa
Alivi,
vinywaji
laini
pale
Dada
Joyce
na
Urembo
mafuta
na
rosheni
Ayubu
anasimamia
Senta
ya
Kati
inawaka,
kila
mtu
anapiga
kazi
Kwa
mziki
mkubwa
kwa
ajili
ya
Sherehe
na
harusi
tunatamba
na
mwamba
Dj
Hammy
tizii
Hamis
Disco
sounds
Usiogope
jua,
usiogope
vumbi
la
shambani
Utajiri
uko
ndani
ya
ardhi
yetu,
twende
kazi
Tunashikamana,
tunainua
Kisana
juu
Hakuna
kulala,
tunatafuta
maisha
bora
Kisana
Senta
ya
Kati,
tunapambana
hatuchoki
Tunatafuta
hela,
kwa
jasho
letu
tunatoka
kama
Konde
Vodi,
Antidi,
Deni
Leonard
LTK,
Marashi
ya
Shamba,
Zeno
Funsi,
Sperito,
Joa
wape
salaam,
na
Taita
Porojo
PRR
asanteni
kwa
kuwa
mfano
wa
mapambano
halisi
ya
utafutaji
Kilimo
cha
mibuni,
kahawa
inaleta
neema
Vijana
amkeni,
huu
ni
wakati
wa
kushinda
Asante
mzee
wa
ruksa
na
fujo
zisizoumiza
Chege
Vedasto
Rushakuzi
gunia
tupu
halisimami.
Pongezi
kwenu
viongozi
wetu
Mwenyekiti
Demtani
Kahaya
na
Diwani
Julius
Rwechungura
Kisana
Senta
ya
Kati,
tunasonga
mbele
Kazi
iendelee,
pesa
mfukoni,
furaha
moyoni
Ni
Nzihira
tena
kwenye
beat
na
Dj
Magodoro
Sho!
Aweh!
Twende
kazi!
Kisana
Senta
ya
Kati!