Frobits
🎵 A song made on Frobits

Nirudishe Utotoni

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

A ray skeedo..
(Verse)
Siku za ujana wangu
Nilikua jasiri ,Nilifanya nilichota
Kweli ujana moshi,
Siku zinasonga na uzee unaniandama.kama maji nafuata mkondo
Oooh baba nirudishie ujana wangu..
Nimagumu maisha ya sasa
Siasa duni na ufedhuli umechangia umaskini
Inabidi uwe makini.
(Chorus)
Ooh baba nirudishe utotoni
Niepukane na dhambi baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Uniepushe na usherati baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Niepukane na dhambi baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Uniepushe na usherati baba
(Verse)
Natamani ujana ooh
Nilikua kijana handsome
Baro baro mwenye mvuto na smile lilopendwa na mabinti
Sikuyaona majukumu kwani kila Binti alikula kwa mzazi wake.
Kweli ujana..starehe ilikua ila kama moshi ulitoweka.
Enjoy the life before you marry
Ukishaowa wee sikijana Tena
Utakosa muda WA starehe kila siku kutafta pesa ooh
(Chorus)
Ooh baba nirudishe utotoni
Niepukane na dhambi baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Uniepushe na usherati baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Niepukane na dhambi baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Uniepushe na usherati baba
(Verse)
Ogopa uzee
Majukumu yanazeesha kuliko miaka yenyewe
Ooh na utamani ujana
Uchumi wa kasongo na siasi zisizoisha
Ahadi za serikali kwa mwananchi nyumba kumi
Tupo kama hatupo kisa umaskini
Nautamani ujana ooh
(Chorus)
Ooh baba nirudishe utotoni
Niepukane na dhambi baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Uniepushe na usherati baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Niepukane na dhambi baba
Ooh baba nirudishe utotoni
Uniepushe na usherati baba
A Ray skeedo

More songs by ray Listen to songs created by others
FROBITS