Frobits
🎵 A song made on Frobits

Shida Haiwezi Kudumu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male vocals] Yeah

yeah...

Maisha

yana

fundisha,

Lakini

shida...

ina

dhalilisha.

Nilikuwa

na

marafiki

walijaa

kila

kona,

Leo

sina

kitu,

hata

simu

hawaoni.

Niliyekuwa

namtegemea,

naye

kanikwepa,

Nikajifunza

duniani

kila

mtu

ana

hesabu

yake

ahadi

sio

deni

niulize

mimi

shida

inadhalilisha,

utaambiwa

baadae

usiweke

tumaini

nakwambia

hutaamini

hiyo

baadae,

ni

Mungu

tu

watu

wema

wapo

ndio

maana

tunaishi,

kuna

muda

mbele

giza

tupu

ila

Mungu

ana

nuru

zake

Asante

kwa

hata

hicho

kidogo

ooh

Nimeomba

msaada,

nikajibiwa

kesho,

Kesho

ikafika,

wakasema

bado.

Lakini

moyo

wangu

bado

unasema,

Mungu

hataacha

machozi

yanizime.

Usinicheke

leo

kwa

sababu

nimeanguka,

Kesho

inaweza

kuwa

zamu

yako.

Maisha

yanazunguka,

Anayedharau

leo,

kesho

huomba

msaada

Shida

inadhalilisha...

Lakini

hainiui,

inanifundisha.

Shida

inadhalilisha...

Mungu

ndiye

ngome

yangu,

ataninyanyua.

Leo

nalia,

kesho

nitatabasamu,

Safari

bado

haijaisha.

Nguo

zikichakaa

watu

hubadilika,

Pesa

zikiisha

heshima

hupungua.

Lakini

thamani

ya

mtu

si

mfuko

wake,

Ni

moyo

wake

na

matendo

yake,

imani

yake

moyoni

inaweza

kuwa

dawa,

omba

afya

njema

upate

muda

wa

kazi

maana

ukilala

kwa

maradhi

fedhea

na

aibu

waja

hawata

kuacha

salama,

utalia

ukisikia

maneno

yao,

Mungu

nipe

nguvu

nisilale

mapema

naitamani

kesho

nzuri

shida

za

leo

nadhalilika

mja

wako,

thanks

kwa

ujasiri

Tabasamu

kwangu

normal

hata

nikihisi

kukataliwa

kwa

imani

ni

mapito

nitakubaliwa

hata

na

wachache

ooh

Nitasimama

tena

kwa

nguvu

za

Muumba,

Nitafungua

ukurasa

mpya

wa

maisha.

Walionidharau

watashangaa,

Maana

ushindi

huja

baada

ya

majaribu.

Shida

inadhalilisha...

Lakini

hainiui,

inanifundisha.

Shida

inadhalilisha...

Mungu

ndiye

ngome

yangu,

ataninyanyua.

Leo

nalia,

kesho

nitatabasamu,

Safari

bado

haijaisha

Kama

unapitia

shida...

usikate

tamaa.

Leo

ni

giza,

lakini

alfajiri

inakuja.

Ni

Mwarabu

kwenye

hii

tena "

Shida

inadhalilisha,

lakini

haimzuii

anayemtegemea

Mungu

kufika

mbali."

Asanteeee

More songs by Bonny Listen to songs created by others
FROBITS