Frobits
🎵 A song made on Frobits

Munduli on the Track

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

Cabinenga Cabinenga washuaaaaa
Wakuuu wa Cabinet washuaaaa kishuaaa
It's Munduli on the truck check it
Munduli mabeganiiiiiiii check skriiiiit
Ndio naingia Sasa ndio naingiaaaaaaa ahaaaaa
yeah nashika kipaza verse nazi charaza nawalaza viraza na kimbiza mtaa kwa mtaa all the way from Cabinet hakuna Mali kulaza tuna show love hatunaga kukunja cheche zinatembea wapinzani midomo mwaaa mwaaaa wanaongea jatujali daily mbele tunasogea we don't care hata daily wakituongela mara mweusi, wakili msomi, kule Putin, sosa mara mtabe tunakula maisha kinywamwezi Yani kibabe tunazi Saka zetu sio za mazabe so you watch out tusije tukuzabe .
hii ni Cabinet duude kubwa , full idara zote cheza mbali usije ukatupa Mali sisi hatutaki zenu kamali cabinengaaa,yeah munduliiiiii , mabegani babaaaaaaaaa yeah.
bella mangi meli Tau jimmy jimmy Michael sunga na Tumbo tumbo na Michael Mbao ,Watson Tbc semaji Hussein broda tunakimbiza kimbiza ,no worries kikosi Kiko fit no shawtys no drama hakuna kudeka sisi sio Mama's babies tunakisaka elaooteee, Chunga bebe yako chadog asije bite na Zungu msela getho haiko nyauuuu brother deo shikamoo mshua mimi Sina dharau Niko na wazungu wa meli huku napandisha dau Jooh mzee wa DODOMA straight forward Mwinyi lavender anauliza ati Munduli why!!! hahahahahaaaa wachape weeeeeeee.
Iyoboooooo

More songs by Lord Listen to songs created by others
FROBITS