Darline pokea maua yako leo.Umekuwa wa mapenzi sana kwetu pasipo kutuchoka.
Chorus:.
Zaidi ya kuwa mwana wewe ni mama,dada na mtetezi wetu...Tusamehe kwa kukosa shukrani mara nyingi...ila leo tunakukumbuka kwa wema.
Maombi yako...Ushauri wako...nakujitolea kwako ndio nguvu yetu.
Leo sisi wachache tumerudi kushukuru...Tunakupenda nakukuombea baraka kwa mola.
Barikiwa Darline,anenae baraka aishi kwa baraka na anenae laana basi zikawe maji kwake kila siku maana Darline umebarikiwa