Hapo wap Mama watoto wangu, umekaa mbali siku nyingi
Karibu Tuishi kama zamani, mama wa watoto wangu
Watoto wetu wanatutaka tukiwa wote pamoja mama wa wanangu
Mama watoto wangu, asante kwa upendo
Ulikuwa nguvu yangu siku zote
Ulitupatia joto katika baridi
Sasa nimepotea bila nuru yako
Karibu mama, nisamehe tafadhali
Mama watoto wangu
nisamehe, tuishi kama zamani
Mama watoto wangu
Upendo wako haufi kamwe
Mama watoto wangu
Karibu nyumbani
Tuishi tena, nakukosa
Sikumbuki tena matatizo yetu acha amani itawale kwetu eeh
Mama wewe umefanya nijione nisiye na haki
Lakini moyo wako ulikuwa safi kwangu
Ungelala kwa ajili yangu
Sasa watoto wanahitaji kuwa hapa
Hawaoni furaha yetu katika macho yangu
Mama watoto wangu
nisamehe, tuishi kama zamani
Mama watoto wangu
Upendo wako haufi kamwe
Mama watoto wangu
Karibu nyumbani
Tuishi tena kwa amani
Mwenza wangu, furaha yangu
Mzazi safi, mama mwema wa wanangu
Watoto wangu wanaita nyumbani baba upo wapi
Kwanini tumegeuka vibaya mama Ninaomba radhi I'm sorry
Mama watoto wangu
nisamehe
Tuishi kama zamani, milele nitakupenda mama watoto
Ni Mwarabu kwenye hii tena naimba mapenzi