Frobits
🎵 A song made on Frobits

Afrobits Freestyle

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Ayeee ayeee hii ni yako binti ZOZO tuimbe wote..... ayeee
Binti safi mwenye moyo wa pekee, huringi hujidai Mungu anabaraka zake, ni mbali umetoka leo enjoy hatua na mwendo sio kasi Bali ni baraka zake Mwenyezi, aaah asumani mtu poa kama heshima aah umepata binti zozo, uvumilivu na hekima leo una drive si Haba haya mambo ni ya wachache, hongera bonge la duka watu wanaenjoy mambo safi hakuna kulala keep it up dadaaa, malkia wa nguvu cheo nakuvisha, ungevunjika moyo lakini leo upo hapo ni subra na juhudi mambo yako swafi sio kama yaleeee
Karibuni binti Zozo, vinywaji laini hata wale wa ngumu aah sehemu yenu si ndio hii
Mkwajuni pande hizi bata letu lianze hapa
Kwa pamoja tukutane Binti zozo mbona mambo safi safi
Hujafika hapa basi wewe mgeni wa bei rahisi Karibu furahi maisha leo kesho ni ahadi fanya kufurahi eeeeh
Ulianza kama utani ile leo utaskia ukitaka vya jumla fanya nenda binti Zozo, bila P A ila we watu wote ni mzozo, ukisikia chimbo poa njoo kwa binti Zozo utashukuru baadae, bila shaka ni chimbo safi Mkwajuni una Jina mama la mama, leo chukua maua yako sio mpaka upotee tusemee oooh alikua mtu safi yule binti, waombee wateja wapate kitu maaana mtu kitu binti zozo bila wao sio kitu nawe utapata chochote kitu ndio mtindo wa maisha kuishi kutegemeana alooo sio masimango yaleee
Karibuni binti Zozo, vinywaji laini hata wale wa ngumu aah sehemu yenu si ndio hii
Mkwajuni pande hizi bata letu lianze hapa
Kwa pamoja tukutane Binti zozo mbona mambo safi safi
Hujafika hapa basi wewe mgeni wa bei rahisi Karibu furahi maisha leo kesho ni ahadi fanya kufurahi eeeeh
Kama chimbo hulijui uliza yoyote mbona binti Zozo yupo hapa hukosi chochote labda haramu na haramu hapa sumu furahia vinywaji safi kwa dada mwenye upendo labda shida uje nazo tajiri , maisha leo kesho ni ahadi fanya kufurahi eeeeh ayeee
Ni Mwarabu kwenye hii tena
Karibuni kwa binti ZOZO mbona safi tu

More songs by Bonny Listen to songs created by others
FROBITS