Frobits
🎵 A song made on Frobits

Nakuita Malebo

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

[female vocals] Nina

huzuni

moyoni

Siimbi

tena,

Namlilia

Malebo,

Amekataa

kuokoka,

Nilizoimba

ni

nyingi,

nikimuonya

malebo

bado

hajabadilika,

Sasa

siimbi

nalia

Wewe

ni

wangu,

Tuliyesoma

pamoja,

Michezo

ya

utotoni,

tuliicheza

pamoja

Sasa

ni

watu

wazima,

Na

mimi

nimeokoka,

Malebo

nikimwambia

Yeye

huruka

kimanga,

Nakuita

Malebo,

uje

kwa

Yesu

utubu

yeye

ni

mwenye

huruma

Atakusamehe

kabisa,

Jina

lako

la

Malebo,

litaandikwa

mbinguni

Utakuwa

kiumbe

kipya,

Ya

kale

yote

imepita,

Malebo,

rudi

nyumbani

Yesu

anakupenda,

anakusubiri (

Hallelujah,

amen!)

More songs by Regina Listen to songs created by others
FROBITS