Frobits
🎵 A song made on Frobits

Mwalimu Tutuba Sekondari

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

"mwalimu tutuba sekondari,
Shule ina kidato cha kwanza hadi cha 6. Shule niya bweni na kutwa boys na girls
Mazingira ya kujifunzia ni mazuri
Madarasa na miundombinu ya uhakika ya kumfanya mwanafunzi asome.
Wanafunzi wote wanafaulu kidato cha nne kwenda kidato cha tano.
Wanafunzi wote wa kidato cha sita wanafaulu kwenda chuo kikuu kwa alama za juu kabisa.
Karibu mwalimu tutuba, mlete mwanao apate alimu bora.
Hakika Mwalimu tutuba sec school itakupatolia elimu na kukugundisha maisha ya duniania

More songs by Mungu Listen to songs created by others
FROBITS