Frobits
🎵 A song made on Frobits

Maajabu ya Bwana

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

Afrobit

hisia

huzuni

Mmhmmhmmh king mbenaaa heee

Kiitikio

Umetenda

maajabu

namisiwezikuelezea

Siwezikuelezeaaa

namisiwezikuelezea×2

:Ubeti

wa

kwanza;

Kamba

zile

zamauti

Mimi

zilinizunguka

kwa

hakika

lakini

kwa

uwezo

wako

Bwana

umenifanya

kuwa

hivi

leo,

mitego

mingi

nayo

walitega

njiani

waninase

chini

ya

windo

lao

Bwana

ukaniepusha

mbaliiiii

hataleo

Mimi

ni

mzimaaa.

(Kiitikio)

:Ubeti

wa

pili;

Umeniokoa

matopeni

ambako

walinizamisha

nizamisha

nizamisha

Umenisafisha

kwa

majiiiii

hivi

leo

waniona

Mimi

ninang'aaaa

Yale

mavumbi

yangu

yote

yaliokua

yamenigandia

umenikung'uta

umenikung'utaaaa

hata

Leo

More songs by kingmbena Listen to songs created by others
FROBITS