Frobits
🎵 A song made on Frobits

Usiku Mzima (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Mmm, asali... sikiliza)
Yeah, unanipa raha nasahau shida za kutwa nzima
Macho yako yanameta gizani misiri ya lulu
Kila hatua yako naifuata kwa makini nisije potelea kwa wahuni fulani
Upepo mwanana unanipea hadi nalala kileleni, usiku wa mahaba na michezo mingi kwa bed wivu waone wao
Moyo unadunda, kasi inapanda mpenzi isije siku ukapotea sura yangu nitaweka wapi mamaa, mmh kama mapenzi shule kwako sitaki kuhitimu nirudishe madarasa utakavyo malkia wangu I love you
Nicheze nawe usiku mzima (eeh)
Hadi jua lianze kuchomoza
Huu utamu wetu usiishe kamwe
Kaa karibu nami, usiniache pekee yangu, nicheze nicheze nawe nicheze na wewe beibi
Gusa mkono wangu, twende sawa mama la mama
Kiss and hug ooh come on tunapanda chati tunafika palee kileleni
Hakuna wasiwasi, tuko wenyewe hapa tufanye yetu bila hofi ya wapiga chabo
Tabasamu lako ndio taa yangu ya usiku hakika wewe ni blessing toka kwa sir God, usipunguze raha mpenzi, nikirudi na stress utasikia babaa pole kwa it's all about life don't worry babangu kwa hisia natabasamu ooh Asante mama zinaisha what kind of love naona kwako sitakaa mbali nawe, nilichoshwa ila kwako nothing to say zaidi I love you
Nicheze nawe usiku mzima (eeh)
Hadi jua lianze kuchomoza
Huu utamu wetu usiishe kamwe
Kaa karibu nami, usiniache pekee yangu, nicheze nawe nicheze na wewe babygirl
Nicheze nawe, nicheze na wewe
nicheze nawe nicheze na wewe beibi
(Mmm, usiondoke...)
Baki nami, usiku mzima
Ni mwarabu kwenye hii tena naimba mapenzii

More songs by Bonny Listen to songs created by others
FROBITS