Frobits
🎵 A song made on Frobits

Kuipima Imani Yako

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Issack kasonje,,,,
Usitegemee mema tuuu maishani mwako, kwani wakati mwingine Mungu huleta vipimo,
Kuipima Imani yakooo ooo!!
Usitegemee mema tuuu maishani mwako, kwani wakati mwingine Mungu huleta vipimo,
Kuipima Imani yakooo ooo!!
Mabaya yanapokuja,
Mshukuru Mungu uuu.
Mazuri yanapokuja,
Mshukuru Mungu uuu
Neema inapokujia mshukuru mungu
Uonapo mafanikio kwenye ndoa yako, biashara yako
Mshukuru Mungu hehe heee
Usitegemee mema tuuu maishani mwako, kwani wakati mwingine Mungu huleta vipimo,
Kuipima Imani yakooo ooo!!
Mkumbuke na Ayubu,
Mtumishi wa Mungu,
Yeye alimshinda Shetani,
Kwa imani yakee.
Majaribu yalipokuja, aliyashinda
Vikwazo vilipo kuja, alivishinda
Magonjwa yalipokuja, aliyashinda
Mateso yalipomjia, aliyashidaa, heheheee
Usitegemee mema tuuu maishani mwako, kwani wakati mwingine Mungu huleta vipimo,
Kuipima Imani yakooo ooo!!
Nasisi leoooo , tuwe na imanii
Ilituvishindeee, vikwazo vya shetani
Nawewe leoooo , uwe na imanii
Ili uvishindeee, vikwazo vya shetani, heheheee
Usitegemee mema tuuu maishani mwako, kwani wakati mwingine Mungu huleta vipimo,
Kuipima Imani yakooo ooo!!

More songs by issackkasonje Listen to songs created by others
FROBITS