Sikiliza,
hili
ni
lile
goma
Linapiga
kwenye
Twende!
Watu
wanashangaa,
vipi
hili
goma
linabamba
Kila
kona
ya
Buchosa,
Sio
majungu,
ni
utamu
unaoleta
Kila
mtu
anatingisha
kichwa,
hakuna
cha
kusita
Hili
goma,
hili
goma
linabamba
Linatupendeza,
linatupa
furaha
Bongo
flava,
inashika
Hili
goma,
linatufanya
tuko
safi
Si
unajua
vile
bongo
inavyosonga
Nyimbo
kali
inatoka,
inatufanya
twende
Wachochezi
wako
kando,
watazamie
mbali
Sisi
tunaenjoy,
tunasherehekea
kwa
hali
Hili
goma,
hili
goma
linabamba
Linatupendeza,
linatupa
furaha
Bongo
flava,
inashika
kasi
Hili
goma,
Kila
maneno
yanasikika
Hii ndio mziki wetu, hii ndio raha
Hili
goma,
hili
goma
Hili
goma,
linatufanya
Poa,
(Eeh
heii)
Jobby
music,
Itaba
one