Frobits
🎵 A song made on Frobits

Afrobits Freestyle

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

Nakupenda sana mume wangu passchasus, wewe umekuwa Bora sana kwangu, naomba ubaki na mimi siku zote na macho Yako yasiangalie wanawake wengine maana unajua vile nakupenda umenichagua kuwa tulizo la moyo wako NAMI nimekubali tupendane kama maji na samaki nikuite huni nawe uniite sweet hati.
Chorus.
Wewe ni nguzo yangu, wewe ni chumvi yangu, wewe ni baba wa watoto wetu, wewe ni tulizo la moyo wangu, nguzo ya familia yetu, maisha yangu nataka niishi na wewe mkeo tedy nakupenda sana.
Verse ya pili utanisaidia kuongezea maneno mazuri

More songs by God Listen to songs created by others
FROBITS