Frobits
🎵 A song made on Frobits

Afrobits Freestyle

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

(Omo! Tuwende!)
Tuko hapa kwa ajili ya kujifunza oh
Hakuna tatizo, ni kujifunza kwa kwenda mbele
Elimu haina mwisho, ukomo ni kifo pekeyake
Kijana jitambue
Oooh kijana jitambuee
Hatusimami, hatupumziki
Changamkia fursa, kamwe usilale
Kijana jitambue
Ooooh ujana ni maji ya moto
Akili kichwani mwako
Maisha yako tengeneza kwa bidii
Ungali ukiwa na nguvu
Pambana Popote ulipo
Oooh kijana jitambuee
Hatusimami, hatupumziki
Changamkia fursa, kamwe usilale
Kijana jitambue
Maisha ya sasa akili mbele
Bila discipline hatutakuona mstari wa mbele
Jitume kijana songa mbele
Tumia akili songa mble
Weka akiba, wekeza jipambanue kwa maisha ya mbele
Aaaaaaah kijana jitambue
(Heyy heyy heyy! Changamkia Fursa!)

More songs by Meja Listen to songs created by others
FROBITS