Twamshukuru Mungu uuu
Kutufikisha hapaa aaa
Twamshukuru Mungu uu
Kuiona siku ya leo oo x2
Ametupa faraja baba
Ametupa amani yesu uu
Ametuma uzima yawee
Leo hii twaimbaa
Twamshukuru Mungu uuu
Twamshukuru Mungu uu
Kuiona siku ya leo oo x2
Pale ninapopitia magumu yesu nishike nisianguke
Pale ninapo pitia mateso
Yesu nishike nisianguke
Nishike mkono nishike mkono nishike nisianguke
Shetani alitafuta kunipoteza ameshindwaa
Shetani alipambana kunikamata ameshindwa