[male
vocals] (
Soli
ya
gitaa
ya
kielektroniki,
midundo
ya
taratibu)
naimba
sifa
zako
Bwana
wa
ma
bwana
Umerekebisha
maisha
yangu
Ume
ifanya
kuwa
bustani
ya
uzima,
Asante,
kweli
asante
sana
Umeondowa
ayibu
yangu
Umenivika
nguo
mupya
Umeniosha
kabisa
kabisa
Umenipaka
mafuta
rohoni
Usifiwe
eh
Mungu
wangu
kwa
yote
Nilipita
bonde
la
mauti
Bila
maji,
bila
chakula
Hata
bila
tumaini
lolote
Lakini
wewe
ulikuwa
nami
Sikufa,
Kama
aduwi
walikusudiya
Ulinilinda
kwa
mkono
wako
wenye
nguvu
Leo
nastawi
kama
bustani
la
uzima
Mauwa,
miti
na
matunda
tele
kwangu
Mimi
Keljwa
Tshilumba
nakuwa
bustani
Bustani
la
uzima
kwa
ajili
yako
Yesu
Asante
sana,
asante
sana
Bwana
Ukamtuma
malaika
wako
Kuja
kuwa
msaada
kwangu
Kanishika
mkononi,
kanionyesha
njia
Sikutembea
gizani
tena
Nuru
yako
iliangaza
njia
yangu
Umenipandikiza
mbegu
ya
upendo
Imekuwa
mti
mrefu
wa
baraka
Matunda
yake
ni
amani
ya
milele
Sihitaji
tena
kuhofia
kesho
Hata
kidogo
Kwa
maana
wewe
ni
mlinzi
wangu
Les
lendemains
sont
dans
tes
mains
Leo
nastawi
kama
bustani
la
uzima
Mauwa,
miti
na
matunda
tele
kwangu
Mimi
Keljwa
Tshilumba
nakuwa
bustani
Bustani
la
uzima
kwa
ajili
yako
Yesu
Asante
sana,
asante
sana
Bwana
Kama
maji
ya
mto
yanavyotiririka
Ndivyo
neema
yako
inavyotiririka
kwangu
na
kwa
jamaa
yangu
yote.
Sina
cha
kulipa
zaidi
ya
sifa
ya
moyo
wangu
na
ushuhuda
wangu
Sina
cha
kutoa
zaidi
ya
moyo
wangu
kuwa
ekalu
Yako
mumba
wangu
Pokea
sifa,
pokea
utukufu
Wewe
ni
mwema,
wewe
ni
mwaminifu
Kila
asubuhi
Ninapo
Hamuka,
Naona
upendo
wako
mpya
Mbele
zangu
Kama
mmea
unaochipuka
kwenye
ardhi
Ndivyo
roho
yangu
inavyochipuka
kwako
Si
kwa
uwezo
wangu,
si
kwa
hekima
yangu
vraiment
c'est
par
ta
grâce,
Ni
kwa
neema
yako
tu
Bwana,
only
your
grace
Nimefika
hapa
nilipo
leo
Na
nitaendelea
kustawi
milele
Nitasonga
mbele
pamoja
n'a
wewe
yesu
Leo
nastawi
kama
bustani
la
uzima
Mauwa,
miti
na
matunda
tele
kwangu
Mimi
Keljwa
Tshilumba
nakuwa
bustani
Bustani
la
uzima
kwa
ajili
yako
Yesu
Asante
sana,
asante
sana
Bwana
Asante
sana
Mungu
wa
Ujana
wangu
Mungu
wa
maisha
yangu
yote
Yesu
wangu
mpaka
mwisho
wangu
du
nianiania,
nitakupenda,
nitakupenda
tu
wewe
mungu
wangu (
Soli
ya
gitaa
ikipungua
taratibu)
Nakusifu,
nakutukuza
Sifa
kwako
yesu. (
Soli
ya
gitaa
ikipungua
taratibu)
Nakusifu,
nakutukuza
Sifa
kwako
yesu.