Frobits
🎵 A song made on Frobits

Nataka Ngoma

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Mmmh Ni mwarabu hii tena aaah,
maisha! Ya sasa bila mifumo nakwambia utaganda
Natoa ngoma hii kwa hisia tusikate tamaa siku za maisha! Zisije Ganda
Life yangu ni tit bila kuchoka napambana,
Nataka kusimama, ila naona viatu vinabana
Dumu, dumu,ila poa tu, sir God ata bless ipo day
Hadithi yangu ni ngumu hata kichwanj haikai kabisa,
Ningeweza kuibadili ila kama normaltext ukituma imeisha hiyo,
Dunia ina mifumo kama hesabu za four figure
Papa God bless us, kama wale maisha yao mbona sana,
Kila saa ninapenda kupiga kazi ila mmh naona bado,
Sir God bless us, kama wale maisha yao mbona safi
Kila saa ninapenda kupiga ,
Ayee, poa tu,
Ayee, poa tu! Mmh
Kila jua likichomoza naona bahati mpya na wenda mambo yakata, ifikapo magharibi ni huzuni kila kitu kimekataa
Mimi ni mototo wa kwanza nashangaa nakuwa wa mwisho au ndio kama wahenga wa kwanza anakuwa wa mwisho , papa God nijaribu na mengine maana ufukara umenichosha sana,
Kupenda kuzunguka sio kweli ni kutafuta wapi nitatoka sio mbaya najikaza nisije anguka
Hakuna sisi tutakaotaka maandamano,tufanye kazi watu waandamane kuomba posho nakuita tajirii
ngoma nakutia moyo mwenzangu na mimi usilale we amka tu alfajiri,ni mwendo wa kuzisaka hakuna kukariri
pamoja, tutafika mahali roho itapona kwa raha
Papa God bless us, kama wale maisha yao mbona sana,
Kila saa ninapenda kupiga kazi ila mmh naona bado,
Sir God bless us, kama wale maisha yao mbona safi
Kila saa ninapenda kupiga kazi kazi kazi na mbona poa tu
hii sio ndoto tu,
Ni kile kile nilichotaka kila saa,
Ngoma inanipa moyo,
Na hali ya kusimama tena kama wolf worries
Ulibariki wale kwa juhudi zao papa God
Please tuna juhudi pia huu uwe mwaka wetu
Isiwe ndoto za mchana coz sisi wote waja wako sir God
Thanks God for everything I'm done

More songs by Bonny Listen to songs created by others
FROBITS