[male vocals] Kila
sekunde,
kila
saa,
wewe
ni
wangu
wa
thamani (
Sikiliza
moyo
wangu
unavyokwambia)
Tangu
nikutane
na
wewe,
kipenzi
changu
Kemmy
Moyo
wangu
umekufa,
umekufa
umeoza
kwa
penzi
Sijakuwaza
kivingine,
nimekupenda
wewe
kama
wewe
Sijakutamani
kingine,
naitaji
uwe
wangu
mimi
milele
Najivunia
upendo
wako,
unavyonijali
kila
uchao
Nimezama
baharini,
sitoki
ng'o,
nimezama
kwenye
pendo
lako
Kemmy
nipende
mimi,
usinipendee
kitu
chochote
Nafasi
yako
kwangu
ni
kubwa,
ni
zaidi
ya
neno
lenyewe
Nakuitaji
sana,
pokea
zawadi
yangu
ya
moyo
Imma
ni
wako
milele,
tutaishi
wote
kwa
furaha
na
amani
Imma
wako
anakupenda,
anakujali
na
anakueshimu
Mlinde
penzi
letu,
kwa
maana
nimeacha
kila
kitu
Kila
nikikutazama,
naona
mwanga
wa
kesho
yangu
Nakuitaji
mpe
mapenzi
moto,
jali
hisia
zangu
mpenzi
Mimi
na
wewe
damu
damu,
hakuna
wa
kututenganisha
Leo
nimetembea
na
wewe,
nimeona
uzuri
na
tabasamu
lako
Kemmy
nipende
mimi,
usinipendee
kitu
chochote
Nafasi
yako
kwangu
ni
kubwa,
ni
zaidi
ya
neno
lenyewe
Nakuitaji
sana,
pokea
zawadi
yangu
ya
moyo
Imma
ni
wako
milele,
tutaishi
wote
kwa
furaha
na
amani
Asante
Mungu
kwa
hili,
umenipa
nuru
ya
maisha
yangu
Ni
mke
nimepata,
mwenye
busara
na
upendo
wa
dhati
Sitakuacha,
nitakulinda,
nitakuenzi
daima
Kila
sekunde,
kila
saa,
wewe
ni
wangu
wa
thamani
Kemmy
nipende
mimi,
usinipendee
kitu
chochote
Nafasi
yako
kwangu
ni
kubwa,
ni
zaidi
ya
neno
lenyewe
Nakuitaji
sana,
pokea
zawadi
yangu
ya
moyo
Imma
ni
wako
milele,
tutaishi
wote
kwa
furaha
na
amani
Mimi
ni
wako
tu,
Kemmy
Imma
na
Kemmy,
milele
Mimi
ni
wako
tu,
Kemmy
Imma
na
Kemmy,
milele (
Nakupenda
sana) (
Milele
na
milele)